[Verse]
Viumbe vyote vyakuabudu, kabila zote zakusifu kila goti litakunjwa mbele zako [×2]
[Chorus]
Viumbe vyote vyakuabudu, kabila zote za kusifu, kila goti lakunjama bele zako yesu
Hakuna mungu mwengine kama wewe
[Verse]
Hakuna kama wewe baba
hakuna kama wewe jehova
Hakuna kama wewe shama
Hakuna kama eewe yesu kristo
Mmm mmmm mmmm mmmm
[Pre Chorus]
Viumbe vyote vyakuabudu, kabila zote za kusifu, kila goti lakunjama bele zako yesu
Hakuna mungu mwengine kama wewe
[Bridge]
Hakuna kama wewe baba
hakuna kama wewe jehova
Hakuna kama wewe shama
Hakuna kama eewe yesu kristo