[Intro]
[Verse]
Ni nini itakayo tutenga na upendo oh wa kristo oh oh wa kristo
Je? Ni dhiki, matatizo au njaa huyee huyee huyee
Mimi siwezi jambo lolote pasipokuwa wewe kuniwezesha aa
[Guitar Solo]
..........Ee Bwana tusaidie peke yetu hatutaweza ee Bwana tusaidie ×2
[Chorus]
Mimi siwezi jambo lolote pasipokuwa wewe kuniwezesha aa
[Verse]
Je nishida inaweza kututenga naye....................hapana
Je ni njaa inaweza kututenga naye..................hapana
Je ni uchi unaweza kututenga naye....................hapana
Kitu gani kinaweza kututenga naye............akuna aa
[Bridge]
Tunae baba mwenye upendo hakuna kitu kinachoweza kututenga naye yeyeee×2
Tukiwa kwenye shida ............yupamoja nasi
Tukiwa kwenye matatizo ndungu yangu.........atupigania×2
Ni nani aliye kama yesu...................hakuna, hakuna,hakuna kama yesu.............