Verse 1 : Nalia kwako Bwana unikumbuke yahweh x2
machungu ya zidi nishike mkono Bwana x2
maadui waaibishe ujibu ombi langu yahweh x1
Vocal 1 : Shida za umiza moyo wangu faraja naitaji toka kwako , marafiki wamenikimbia aa ni wewe pekee rafiki yangu, Nipo uwanja wa vita Bwana wa majeshi nipiganie uje uniokowe Bwana.
Vocal 2 : Macho yangu yamefifia kutazamia ahadi yako oh simamisha bendera ya ushindi maishani mwangu niuone uzuri wako, paka lini maadui wafurahi kuanguka kwangu njoo baba okoa nafsi yangu naegama chini ya musalaba wako nikisubiri unijibu yesu nalia kwako
Verse 1 repeated : Nalia kwako Bwana unikumbuke yahweh x2
machungu ya zidi nishike mkono Bwana x2
maadui waaibishe ujibu ombi langu yahweh x1
Conclusion : Bila msaada wako mimi sitaweza aa Bila nguvu zako mimi sitaweza aa
Nipiganie , unitetee.