Waturkana wote wa Nachola Ward kila mtu akate kura yake 2027 is around. Na mkae mkijua ya kwamba Elizabeth Kalapata ndio MCA wetu wa leo. Tumechoka na uongozi moja wa kiti ya MCA wa Nachola Ward. Leo hii tusimame nyuma ya mama wetu Elizabeth Kalapata. Ili tuepukane na hii shida ya kutokuwa na bursaries ya wanafunzi wetu. Ukosefu kazi kwa vijana wetu na pia kwa ndani ya ward yetu. Akuna mtu mwingine tena anaeza kutuokoa ni mama yetu Elizabeth Kalapata tunamtumbua kama mama mchapakazi bila upaguzi
Etich Bon
Mama na Kazi
2027
Is around us Nachola itabadilika