Intro)
Huyu ni Wanjera Jirani – dada wa vibe kali!
Majengo hadi Lubaga, Mwasele hadi Kitangili –
Shy Town nzima inamuita “DJ Wanjera British”! 🔥
(Verse)
Wanjera ni Boss Dada timamu
Ana mziki ndani ya damu
Akipiga brotooth tu, vibe inazidi juu
Ngokolo hadi Bushushu – anapendwa kwa vibe
mpe Brotooth alete vibe
(Pre-Chorus)
🎶 Majengo wanacheza, Lubaga wanatingisha
🎶 Mwasele wanampenda, Kitangili wanamlilia
🎶 Shy Town nzima inasema kwa sauti –
"Wanjera Jirani, wa ukweli kabisa!"
(Chorus)
🎵 Wanjera Jirani, mrembo wa muziki
🎵 Muunganishe brotooth – mpaka usiku wa manane
🎵 Mwanza hadi Kahama, Dar mpaka Moro
🎵 Mtaa wote unarudiarudia jina lake: "Wanjeraaaa!" wanjeraaa
(Outro)
Twende juu siyo chini,
Wapi jiraniii… Wanjera wa ukweli – BRITISH!
Jiraniiiiiiii wapi jiraniiiiii
(Chorus)×2
🎵 Wanjera Jirani, mrembo wa muziki
🎵 Muunganishe brotooth – mpaka usiku wa manane
🎵 Mwanza hadi Kahama, Dar mpaka Moro
🎵 Mtaa wote unarudiarudia jina lake: "Wanjeraaaa!" wanjeraaa