(Intro)
Yo yo! Master v
hii ni kwa Sajo Msika banaa...
Mwamba wa town, hakuna mjadala!
Kama unamjua, unajua – kama hujui, basi haujui
🎶 (Verse 1)
Sajo Msika, mtaa unamtambua
Akitembea, watu wafungua njia
Anachora mistari mitupio pamba kali
Ana flow kali yaani danger ni hatari
Town ni yake, anazungusha mtaa
Vijana wanamcheki, wanataka kuwa kama "daaah!"
Kwenye mic ni simba, hachoki kupiga line
Hata uki-mute mic, bado bado tu ana shine
(chorus) ×2
Sema jina lake, Sajo sajo Msika
kote anaskika
Mtoto wa kitaa kwenye game juu sana anapaaa
Hakuna wakumshusha
(Verse2) ×2
Anategeme Mungu sio nguvu za mtu
Paka anatumwa ila wachawi ni watu
Mchana kama watu usiku ni machatu
Muite Sajo mzee wa Mingo
washikaji wanamwita Kwio kwio Kishingo
hana kolomeo jichanganye akumwage
ni mwendo wa hip hop mixer na Regge
Sajo Msika – mwamba wa town
Anafanya game i-move juu kama crown
Akiingia club, kelele ni shout
madem misele wanakunjana mashati
"Ni yuleyule brooo... .....Lets Goooo
chorus) ×2
Sema jina lake, Sajo sajo Msika
kote anaskika
Mtoto wa kitaa kwenye game juu sana anapaaa
Hakuna wakumshusha
---
(verse 3)
Sajo Msika – haanguki ground
Kwenye beat ana-step kama king wa sound
Sajo Msika – mwamba wa town
Anafanya game i-move juu kama crown
Akiingia club, kelele ni shout
madem misele wanakunjana mashati
Flow ni chuma, hater wana -go - down
Aki-drop verse, wanakimbia town
"Ni yuleyule brooo... .....Lets Goooo
(chorus) ×2
Sema jina lake, Sajo sajo Msika
kote anaskika
Mtoto wa kitaa kwenye game juu sana anapaaa
Hakuna wakumshusha