Haya ni maombi yangu, kwako
Wote ninaowapenda wasipitwe
Na Neema Yako, na Neema Yako
Basi ikiwa iwapo ahadi
Ya kuingia rahani mwako
Sitaki kukosa, na niwapendao (Repeat)
Refrain:
Funua neema Yako!
Familia yangu ikujue
Funua neema Yako!
Mataifa yote yakujue