[intro]
Nionyeshe utu wako ooh
[verse 1]
Nami nitaipata afadhali ya moyo ,
Kwa maana niliandamwa kusonona.
Hata zile sauti za mtaa, watu walipocheka na yao,
Kwa baridi ya upweke nafsi ikabakia uchi mchana.
[Pre chorus]
Nionyeshe utu wako ooh
[chorus]
Naahidi nitakua mwema, kadri niwezavyo oooh
kwaaaako oh, wewe tu,
naahidi nitakua bora, kuvishinda vikwazo oooh
kwaaako oh, wewe tu,
nionyeshe utu wako ooh
[verse 2]
Nami nitasema asante, Kwa sauti ya juu
kwenye kinywa cha moyo.
maana kuchoka ni kwingi, kufarijika ni haba upendo umezidisha choyo.
[outro]
Nionyeshe utu wako ooh
Naahidi nitakua mwema, kadri niwezavyo oooh
Naahidi nitakua bora kuvishinda vikwazo oooh
nionyeshe utu wako ooh
Ni marley tenaaa aaah