Uzuri wako haukinahi macho yangu.
Na Sipepesi mboni Zangu tunapotizamana,
Uwasho wa sikilio Raha yake kijiti kuingia.
Na Pendo hunoga usipolivalia njuga,
Ushauri sipokei Mana adui hana rangi.
Sikutamani nilipenda kutoka moyoni Ndani Kwana ndani.
Nashukuru kwa kunijulia.
Mana hekaya yangu imempata malikia,
Ipambe dunia yangu kwa tabasam nikiwa nawewe.
Ulishe moyo wangu vilivyo vitam kwa mapenzi yako wewe,
{Chorus}
Nitaenda nawewe popote
Nitaimba na wewe chochote
Mana moyo umekichagua
Moyo wangu umekulidhia
(Vers 2)
Wewe ndio mashariki wewe ndio magharibi yangu.
Furaha yangu haikamiliki bila wewe karibu yangu
Nakili hadharani miguu nguvu imeishiwa siwezi Tena jongea
Nafika kileleni kwa kuinamiwa
Mashall ah umebalikiwa
Ipambe dunia yangu kwa tabasam nikiwa nawewe.
Ulishe moyo wangu vilivyo vitam kwa mapenzi yako wewe,
{Chorus}
Nitaenda nawewe popote
Nitaimba na wewe chochote
Mana moyo umekichagua
Moyo wangu umekulidhia
Nimimi apa big mouse