ninawaza naikiria nimetenda mstendo gani kwake huyu yesu akanihurumia.
maana katika wale waliorudisha nyuma wengine nami nilikuwemo, katika wale waliojitenga na kazi yako nami nilikuwemo, katika wale walioumia wengine wakiinuliwa na mungu nami nilikuwemo.
ninawaza kuhusu yule MTU aliyekufanyia vyema siku zote za maisha yake lakini hata sasa hayuko tena, mwingine yuko hosipitali anaugulia maumivu , lakini Mimi niliyekuwa sifai hata kuwa neno lolote LA kutamka mbele zako Nina afya njema na Niko salama kabisa
kweri Moyoni naona aibu wewe kunifanyia yaliyo mema nami kukurudishia mabaya nisamee,
nijalie kibali mbele zako niwe mtu utakayependezwa Nae katika mwaka huu Kama ulivyofanya kwa sauli aliyewaua watumishi wako kila kukicha. mwisho ukaamua kumbadilisha na kumtengeneza kuwa chombo hodari na kilichowafaa watu wengi nami nifanye hivyohivyo , ili nikufanyie shukurani kidogo katika mengi unayoyatenda kwangu e baba...
I have nothing to pay you but created me they you desire I to be so that I can praise you fully..