

Prompt / Lyrics
Nina ushuhuda jumatano ya Leo, Kukushukuru langu kimbilio., Uliyo yatenda hayaiishi kwenye mawazo, Umefuta aibu na vikwazo. Asante kwa kuniondoa kwenye taabu, Wewe ndo unajua moyo wangu, Umekuwa kuhani mwema kwangu, Mfariji wakati WA huzuni yangu. Wewe ni mwema. Wewe ni mwema.
Tags
rock
2:15
No
3/4/2026