[Chorus repeat x2]
Nalia umeniacha
Nalia umenitenda
Nalia umenitonesha
Nalia umeniumiza
[Verse male vocals]
"Nilikupenda kutoka moyoni,
sikuwa na tamaa za kimwili,
Nilikuvumilia uliponizarau,
nikalia machozi nikafumba macho yangu,
ukaninyanyasa kwa penzi lako lakini niliupa matumaini moyo wangu,
Uliniahidi mapenzi matamu Katu hukunipatia yapata miezi minane. kukupenda kwangu isiwe sababu ya kunihukumu, upendo wangu kwako isiwe kigezo Cha kunidharau. Iko siku utanikumbuka hata kama sitakufa
Umeniumiza ikiwa moyo wangu unakuhitaji,
mapenzi yangu ni kiapo kisichovunjika.
[instrumental]
Chorus repeat x2]
Nalia umeniacha
Nalia umenitenda
Nalia umenitonesha
Nalia umeniumiza
[Verse male vocals]
Kama upepo unavyopuliza bila kuchoka,
Ndivyo moyo wangu ulivyoshika ganzi ya majeraha.
Ningali nimesimama nitakuombea hata kama umeniangusha,
upendo wa kweli hauishi naamini iko siku nitapona..Mungu wangu wa neema nipe macho nione ya gizani
Chorus repeat x2]
Nalia umeniacha
Nalia umenitenda
Nalia umenitonesha
Nalia umeniumiza
[Instrumental]