(Chorus)
Tafadhaali naooomba,elewa hizi risto zazangu
Tafadhaali na na ombaa,elewa hizi mambo zazangu.
Tafadhaali naooomba usinipe ndoto,stakbadhi at zisizohesabikaa.Stakabadhi ata zisizohesabika.×3
(Verse1)
Franklyn Mutaki, miye ,nawapa salaam za asubuhi.
Mashabiki kutoka kaskazini magharirriibi.
Waona nafasi haitopatikaaana kwa urahiisi.
Mtima wangu wazama na kububujikwa na simaaanzii.
Life ya home naipeleka hadi kwa rooaaadiii.
Mtoto wangu,Obed,kweli,aiseee!
Naomba uje nikubebe mgongooni!
Ata wenzako mcheze nao na miiimii.
Life ni kweli itatupelekaa vizuuriii.
Naskia eti watu wanaopendana,hata wakosane vi ajee,mwishowe wao hurudiana.
Nangojea kwa hamu na gaaamuuu.Aisee!
Ile siku tutapata nafasi ya karaamuu.
Obed,Edom mwanangu,your dad,Mimi nina salamu.
Kwa kweli,mtoto,wangu, mzuri.
Nitaimba tupige densi nawewe!
(Chorus)
Tafadhaali naooomba,elewa hizi risto zazangu
Tafadhaali na na ombaa,elewa hizi mambo zazangu.
Tafadhaali naooomba usinipe ndoto,stakbadhi at zisizohesabikaa.Stakabadhi ata zisizohesabika.×3
(Verse1)
Franklyn Mutaki,miye nawapa ,salaam za jioni.
Nilikua na msichana aitwaye Elizabeth Sherii.
Nampenda,kwa song nitamwambia kweli.
Na na nafasi,ninayo ni ya kusema na nafsi.
Iza kweli,upendo wangu kwako ni WA kweli.
Jambo Fulani,ai bana,nishaskiza TU mtoi bana.
Mtoto wangu Obed,nakulove,nakupenda TENA
SANA!
Ii stori ya kusema Ohh this mara that Ooh,naskia kama roho Inaomba nimkumbatie baaana.
Naumizwa na roooohooo,ni mara ya mwisho lini
sijaona mtoootttooo.
Wacha nipunguze TU Mori na zile zangu za ufala,aiseee!
Ni stori ya mtoto wangu Obed na wife yangu Eliiz
baana!
(Chorus)
Tafadhaali naooomba,elewa hizi risto zazangu
Tafadhaali na na ombaa,elewa hizi mambo zazangu.
Tafadhaali naooomba usinipe ndoto,stakbadhi at zisizohesabikaa.Stakabadhi ata zisizohesabika.×3