Intro )
Eh JB…
Makiringi oyeee…
Kubwa si urefu wa mwili,
Kubwa ni moyo wa kupigana… ⚽🔥
( Couplet 1 )
Capitaine Ibra son na capitaine Kaunda,
Wanasimama kama miti pembeni ya mto,
Jado Mariano na Bete Oblac mbele ya vita,
Isama Mpeko “baba ataleta” moto wa ushindi.
Mushaba Kibamba na Munduriba,
Usseni Kunde kama upepo wa usiku,
Mwemedi Mulumba na Debaba Marez,
Wakikanyaga mpira nyasi zinatetemeka.
( Refrain )
Makiringi Sport oyeee…
Bana Makiringi toujours en forme !
Muze Iliasa, Bwatamu Lesage,
Na Kibasa président wa heshima.
Ukiona kimya uwanjani,
Jua radi bado iko njiani,
Makiringi si jina la kawaida,
Ni siri ya ushindi ndani ya damu.
( Couplet 2 )
Kamara na Prence wakifungua njia,
Morisho M13 na Shadari wanakuja kama radi,
Buyoya Mwanabilanga na Ngulube,
Wanapigana bila kuangalia nyuma.
Mutenda mwana Monda, Merci Munganga,
Ashile na Bishindo mwana Benyembuyu,
Kapesile Bana Monda oyeee…
Excellent Mwanabilanga anang’aa kama nyota.
( Pont )
Ndombolo na Ngongo Zabulo,
Miguu yao inaongea kuliko maneno,
“Être grand” si kusema tu maneno,
Ni kuonyesha moyo mbele ya mapambano.
( Couplet 3 )
SC Legra Baoba, Kalume Mutumoyasakumi,
Cotche Kongolo Kajelo na Ramazani Mishele,
Manager O.P.J Saidi Ramazani,
Savounete Paneya anaweka nguvu nyuma ya pazia.
Kiri Alexis, Asani Tchibuta na Mila,
Staff technique Bushiri Kuba Kalonda Popo,
Bushiri Luyenga, Juna Kapope Ndambwe,
Sulutani Mwanamulangwa wakibeba timu mabegani.
( Outro )
Paul Mutukabambi… Petit Nabiso…
Abasi Rajabo oyeee…
Makiringi Sport ni familia moja,
Jibe Azmack le technicien… JB ! 🎤⚽🔥