Ey yo,my name is Franklyn Mutaki,introducing the song, Sherry Eliz my lover,my wife.
(Chorus)
Baibe,nakupenda sana!Ninahisi,kama nakutaka sana.
Wewe ndio mpenzi wa roho yangu.Sherry my lover.
Wewe ndio mpenzi wa nafsi yangu.×3
(Verse1)
Nakusaka kila pahali,nisikukose nihisi u mbali.
Salam kwako mimi mpenzi wako usiende mbali.
Njoo nikufeel mpenzi,hustle nami mpenzi.
Mtoto wetu Obed akae nasi kwa amani.
Furaha yangu niwe naweee!
Machoni mwangu nikutazamee!
Nyimbo za furaha mimi nawe.
Tuzeeke pamoja pamoja nawe.
Ewe mpenzi usichoke,tulia nami.
Ewe mpenzi nikuoe tuzae watoiii.Uuuu!
Chorus)
Baibe,nakupenda sana!Ninahisi,kama nakutaka sana.
Wewe ndio mpenzi wa roho yangu.Sherry my lover.
Wewe ndio mpenzi wa nafsi yangu.×3
(Verse2)
Life yangu yote,nataka niwe nawee baby boo.
Usiwe na mori sana my baby boo.
Mimi wako ee mpenzi.
Kwa wengine nitasema zii.
Mali safi wangu Sherii.
Unaniliwaza time nafeel ziii.
Heri wewe kuliko wengi.
Kipenzi changu nakuhisii.Eeeh!
Nakupendaaa.
Siwezi kuachaa.
Nakupendaaa.Aaaa!
Siwezi kuachaa.Ahaaa!
Hivo ndivyo nafeel my baibe.
Wewe ndio wangu mpenzi.
Chorus)
Baibe,nakupenda sana!Ninahisi,kama nakutaka sana.
Wewe ndio mpenzi wa roho yangu.Sherry my lover.
Wewe ndio mpenzi wa nafsi yangu.×3