Ooh sina pesa sina muuda ni pesa natafuta sina bad time na sitaki nooma ooooh sina pesa sina muuda ni maisha mi natafuta sina bad time na sitaki noma ooooh ya riziki yangu ya Kila siku unaenda kuronga ukisha niomba doo hakuna mganga anayeshinda mungu ata uende marekani ni nacho amini mungu akisha panga mja hauwezi kuupangua iyo iyo Kila time ni manenomaneno unanitafutatafutatafuta Kila wakati mara kelly anauza madawa anahongwa na mishangazi ndio maana anapata pesa am hard working ooooh wasicha nimetupa nyuma huwezi nipata mtaani nikicheza ooh sina pesa sina muuda ni pesa natafuta sina bad time na sitaki nooma ooooh sina pesa sina muuda ni maisha mi natafuta sina bad time na sitaki nooma ooooh nani nang'ara hata muende ukambani only GOD'S fire who no bad man fire wee usione mi naishi nang'ang'ania riziki niepuke madhiki I saw kutengana na wazazi kutendwa na marafiki mpaka nayo nikafoka kwenye kutengana. Mapenzi yo am work man every work I do pesa jina kubwa ni kupanga am work man na fast Kash am shining wapinzani wote wako down. Ooh sina pesa sina muuda ni pesa natafuta sina bad time na sitaki nooma ooooh sina pesa sina muuda ni pesa natafuta sina bad time na sitaki nooma ooooh ya kelly khan!?.