Eeh yeeeeh ohhh no nononoo Azzbash
Sometimes ukitaka kufanyikiwa, Usiongee mengi just zip up, ufanye kimya kimya,kuna type za watu waso penda maendeleo,kazi yawo kukudanganya, na kukupaka picha mdaya,ili uwonekane mbaya,Kwa wote wenye kuku thamini, Ukijipata Kwa group hizo finya left haraka, kabla ujipate umeifanya hasara.
friends hovyo na vibaka, What's up group,Magaidi wasaliti, same WhatsApp group,ma tuface na vichuzi, What's up group,ma troll na ma haters, same What's up group wacahawi na wanga,same WhatsApp group,
Ngoja nikuchambulie, hizi type za watu, kuna ma friends hovyo, ni wale hawana mpango, they don't contribute kitu Kwa maisha yako, hata mukienda out hiyo bill ni yako,hao ndo ma blood suckers Ka kunguni Kwa life yako, na kuna vibaka, hujidai ma diehard,Eti Wana kuthamini,ukiwapa kisogo Kwa nyuma Wana kutafuna, ma gaidi na ma tuface wako deadly,hawana Nia ya maendeleo,wasaliti wao Wata kugeuka mabo yakiwa mabaya,Ukijipata na group hizi Fanya left haraka,kabla ujipate umeingia hasara.
friends hovyo na vibaka, What's up group,Magaidi wasaliti, same What's up group,ma tuface na vichuzi,What's up group,ma troll na ma haters, same What's up group wacahawi na wanga,same What's up group,
Vichuzi, hawa Wana ni shangaza, kawaida yao wao huwa na Tabia mbaya,it's either ni msenge ao dem mwenye sura mbaya,hufata wazuri nyuma utadhani mikia,ukimwita dem mzuri yeye ndo anakwitikia,kazi Ku cock block na kujifanya Wana care,wanga na wacahawi wao Wata kumaliza.ukijipata na group hizi finya left haraka, kabla ujipate umeingia hasara,
Yall know what time it is right now, Usongo media we warning you.... WhatsApp group, same WhatsApp group,same WhatsApp group.
friends hovyo na vibaka, Same WhatsApp group,Magaidi wasaliti, same WhatsApp group,ma tuface na vichuzi, same WhatsApp group,ma troll na ma haters, same WhatsApp group wacahawi na wanga,same WhatsApp group,