Joe yeah yeah yeah
Verse 1
Time after time nimecheki God aki come through
Yeye sio kama binadamu hana tabia za watu
Amekuwa mwaminifu hata time niko down
Na nikimuita anaitika bila delay
Yeye yeye ye ananifaa yeah
Yeye yeye ye ananifaa
Yeye yeye ye God ananifaa
Hakuna kama yeye ye ananifaa
Chorus
Asante, kwa yote umetenda
Asante, asante we ni baba
Asante, kwa yote umetenda
Nitakusifu milele na milele
Asante, kwa yote umetenda
Asante, asanti we ni baba
Asante, kwa yote umetenda
Nitakusifu milele na milele
Verse 2
Umeni bless na job, ukani bless na family
Pia marafiki, ukawafanya pia family
Daddy protect us, na utu bless na wisdom
Milele na milele, sifa zote ni zako
Yeye yeye ye ananifaa yeah
Yeye yeye ye ananifaa
Yeye yeye ye God ananifaa
Hakuna kama yeye ye ananifaa
Chorus
Bless me oh lord, bless me oh lord
Asante and bless me oh lord
Asante asante asante ×2