Ni Joe tena
Sitochoka kusubiri baraka zako
Umenilinda ukanitunza niko imara
Toka zamani umekuwa upamoja nami
Asanti baba
Sitochoka kusema wastahili uinuliwe
Chorus
Baraka zako baraka zako
Sitochoka kusubiri baraka zako
Baraka zako baraka zako
Ee Mungu nibariki na baraka zako
Verse 2
Umenilinda sina magonjwa, niko imara
Ukaniepusha na ajali, nimesimama wima
Ukaniepusha na wabaya nina furaha
Ewe Mungu wastahili na sifa zote
Chorus
Baraka zako baraka zako
Sitochoka kusubiri baraka zako
Baraka zako baraka zako
Ee Mungu nibariki na baraka zako
Nisamehe dhambi zangu
Nahitaji upendo wako
Nibariki nibariki ewe baba