Astoni
Verse1 bwana umefanya mengi sana bwana unanipenda wewe bwana nimengi uliyoyatenda kwangu nimengi uliyo utaenda kwangu
Yesu yesu yesu umenitoa mbali
Verse1,maadui walpiigana na mimi bwana wewe ukawa nguzo yangu mimi maadui walipigana na mimi bwana wewe ukawa nguzo yangu mimi
Unastahili heshima utukufu unastahili bwana kuabudiwa
Chorus 1
Bwana bwana bwana bwana bwana bwana bwana bwana.
Verse3 matendo yako bwana yaajabu sana aah uwezo wako mola wajabu sana aaaha
Ulikonitoa ni mbali sana bwana unastahili utukufu
Nikwimbie sifa wewe
Nitakwabudu milele
Chorus2 bwana bwana bwana bwana bwana bwana bwana bwana
Wabariki ndugu zangu ,keila Groly brother tosha aaaaaa
Bwana ,astoni