((Wewe Mimi )
(Mimi na wewe)
(Tumeaminiwa na Mungu )
((Wewe Mimi )
(Mimi na wewe)
(Tumeaminiwa na Mungu)
(Tusimaeee heee )
(Tuyatende mapenzi yakee)
(Tusimamee tujikane wanaume )
(Tuyatende mapenzi yakee)
(Tusimaeee heee )
(Tuyatende mapenzi yakee)
(Tusimamee tujikane wanaume )
(Tuyatende mapenzi yakee)
Mwanamkeeee ametokana na mwanaume
Mwanamkee hee ametokana na mwanaume
Mwanamkeeee ni utukufu wa mwanaumeee
Mwanamkeeee hee ni utukufu wa mwanaumeee
Mwanaumeee hee( ni utukufu wa Mungu babaaa)
MMwanaumeee hee (ni utukufu wa Mungu babaaa)
((Wewe Mimi )
(Mimi na wewe)
(Tumeaminiwa na Mungu )
((Wewe Mimi )
(Mimi na wewe)
(Tumeaminiwa na Mungu)
Simama simamaaa (Kwa zamu yako mwanaumeee))
Simama simamaaa (Kwa zamu yako mwanaumeee))
Mungu amekuamini wewe kua mwanaume bora
Umeaminiwa na bwanaa kua kiongozi boraa
MUNGU aliwaamini Ibrahim isaka na yakobo
Aiyee ee na wewe umeaminiwa jiamini tuu
Mungu Yuko na wewe siku zoteee
(Mchungaji lawa simama)
(Tuyatende mapenzi yakee)
(Mbulinyingi simama)
(Tuyatende mapenzi yakee)
( Kiondo simama)
(Tuyatende mapenzi yakee)
Wanaume woote simama
Weeeeee