Ombi na maombi
Yote ni uwezo wako kutupa,upendo,Raha,amani na uhaiiii.×3
Umetenda mengi ya ajabu,mimi Franklyn Mutaki nashuhudia.
Nina furaha nikitazama upendo na uwezo wako.
Nahisi kama nisipojiweka kwako nitaangamia.
Mimi ni kama tawi linalohitaji maji kwako.
Eee bwana Mungu sijafahamu mengi lakin ninataka niweze kushuhudia.
Chorus]
Ombi na maombi
Yote ni uwezo wako kutupa,upendo,Raha na uhaiiii.×3
Una uwezo eee bwana,hayo yote ninakiri.
Nasujudu nikisema wee bwana unatosha.Aaaah!
Unaishi kutenda yaliyo mema eee Mungu,nasema,wastahili.
Nainua mikono nikisujudu na kusifu kwa kweli,unatenda.Aaah!
Ombi na maombi
Yote ni uwezo wako kutupa,upendo,Raha na uhaiiii.×3