Nimemwona Yesu kwangu leo... X2
Nimemwona...X3
Kwangu leo.
Njoni nyinyi nyote kwakwe YESU
Mtapona
Mtashibishwa
Mtanyweshwa
Kwakwe YESU
Umeanangaika kwa waganga
Umeanangaika kwa manabii
Umeanangaika kwa wachawi
Yuko YESU MWENYE kuponya
Yuko YESU MWENYE kuokoa
Nakushauli wewe Leo
njoo kwa Yesu kunauzima
Njoo kwa Yesu kunawokovu
Weweeeee
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah