[verse1]
Mie kwako nataka your love
sijalazimishwa, sijawajibishwa
mi nakupenda, mie kwako nataka hilo huba
utanisikitisha, utanizalilisha
kama ukija kunitenda
[chorus]
Kwenye penzi lako nimeingia kichwa kichwa
mi ni wako ukinizingatia utojuta
fanya juu chini usije ukaniacha nitakuwa ka kichaaa
roho yangu mimi bila penzi lako mbona ntakufa