HAPO ZAMANI, SIKUWA
NAJUA MAISHA NI NINI
NILIFIKIRI MAISHA NI KUJIPA FURAHA KUPITIA VITU NA WATU.
NIKAISHI PAMOJA NA WANA..
WAKANIPA NJIA YA KUJIPATIA
FURAHA..
LAKINI CHA AJABU NI KWAMBA, FURAHA HIYO, KAMWE HAIDUMU, KUNA MUDA INAKUWEPO HALAFU INAPOTEA .
Kama vile giza na nuru
Vinavyopingana kila siku.
Mara furaha mara najisikia huzuni.
NA NIKIJISIKIA TU HUZUNI AU NIKIWA NA STRESS, NAANZA KUTAFUTA POMBE ILIPO..
Siku moja nilipotoka club nilikutana na rafiki yangu wa zamani akiwa SMART na maisha yamemkubali
ALISHAURI KUKUBALI KUPATA
FURAHA INAYODUMU MILELE, NA SIO ILE AMBAYO MPAKA UFANYE KITU AU ULE KITU NDIO IWEPO..
Aisee nilimbishia kwamba hiyo haipo, mpaka giza likaingia...
AKANIAMBIA "NGOJA TUFANYE KWA MATENDO "..
AKANIAMBIA NIWEKE HIYO POMBE CHINI, NIKIWEZA KUIOKOTA TENA "MUNGU WAKE SIO WA KWELI"..
AKAANZA KUNENA LUGHA AMBAYO MIMI MWENYEWE SIKUIELEWA. MARA NGUVU ZIKANISHUKIA NIKAJIKUTA CHINI.
NA NIKAJIKUTA NIKO ENEO AMBALO SIJAWAHI KULIONA HAPA DUNIANI..
BAADA YA KURUDI KUTOKA HUKO NILIPOENDA (NADHANI SIO DINIA HII) NIKASHANGAA NATAKA KUISHI MAISHA MENGINE!!
Aliniambia maneno mengi, ila mimi nilikuwa naona UPENDO TU!
AMBAO SIJAWAHI UONA POPOTE..
ULE UPENDO ULINIVUTIA, NIKASAHAU POMBE, WANAWAKE NA MAMBO MENGINE YOTE YASIYOFAA.
MAISHA YALIBADILIKA
KAMA HIVI...
HIYO NDIO IKAWA NJIA YANGU YA KUPATA FURAHA SIKU ZOTE..
[Final Chorus]
BADILIKO*8
[Intro]