Maisha maseke hali ni tete sijui ni lini mi ntatoboa
Nyumbani kasheshe Hali ni ngumu Mama na Baba wanitegemea
Tukisimama wanatuangusha wenyew wanazani ndo wanatukomoa
Wakati wa mungu wakati sahihi na akisha panga wa kupangua
Maisha Safari na tupo kwa gari alafu mungu ndo deleva
Mdundo mkali verse hatari hata usipoimba utacheza
Mi ni mkali najikubali hata kama wakinibeza
Pima kwa mbali kwa mana sizani kama unaniweza
Wanafanya ila mi sifanyi kama wao
Wanachana ila mi sichani kama wao
Tunakishatamba kwetu tunaenda na kwao
Yani sio wao tunamega mpaka bebe zao