Chaya eeeh by SoundVocoder52 - ZonaKuna habari gani eeh
Chaya huyoo
Wanamanyoni eeeh
Chaya huyo
Jamani chaya eeeh
Chaya huyooo
Tunampenda eeeh
Chaya huyoo
Hata wakinuna
Tunampenda eeeh
Hata wakilia
Tunampenda eeeh
Hata wakinuna
Tunampenda eeeh
Jamani chaya eeeh
Chaya huyoo
Tunampenda eeeh
Chaya huyoo
Tunatamba nae
Tunaringa nae
Sisi na chaya
Chaya na sisi
Na mwaka huu
Tunampa tena.
Wenye kununa eeeh
Wavimbe wapasuke
Jamani chaya eeeh
Chaya huyoo
Tunampenda eeeh
Chaya huyoo
[Male Vocal]
[Chorus]
[Bridge]
[Verse]
Details
GeneratedAug 23, 2025
Duration3:31
LanguageIndonesian
Credits
Prompt bySoundVocoder52
ModelAria v4