It's the kisii boy
Siezi mind uko pekeyako
Hisia zangu zote ziko kwako
Umeniteka natamani niwe wako
Ila siezi Lia nikiwa kwako
Baby
Umenifanya Mimi nimewatema
Nakufikiria asubuhi na mapema
Hadi nikikukosa Mimi ninahema **baby
Naomba baby usije wee ukanitema
Wanafiki nao waje wakanisema
Ooh baby usije wee ukanitema *2
Yah baby
Sijui kama wew ndo ulitumwa na wahenga,coz urembo wako wa nafsi unanikunywa Hadi kwenye ndoto.
Sijui ulikua kwa bible sababu naona hata nikama wee ndo king Davy aliona mtoni ukioga akakosea Mungu juu hata me Kuna venye napata nimekosea.
Ety in the beginning there was a lady,precious more than a gold💞 aliumbua akaumbika, Hadi huku njee sipumuii.
Naomba tu kama utaamua kunicheat just pliz cheat death, sitaki niwe kama Solomon ila nitakua kama Hosea nitakupenda tu ulivyo.
Like the constitution I will follow all your rules,Bora tu you take care of my rights.
Sitatamani tufike mahakamani ila issues sitainzia jumbani sababu sijamaliza kukutamani.
Naomba baby usije wee ukanitema
Wanafiki nao waje wakanisema
Ooh baby usije wee ukanitema *2
Art by the kisii boy 🔥🔥💯