intro,
ooh oooooh, ohh oooooh,mmmmmh mmmh.
verse1
wakati ndio huuu, wakati ni sasa, amini amini kwamba yesu anapita,
fungua moyo wako, fungua kinywa chako usiogope,usinyamazeeee,
wakati ni huuu,wakati ni huuuuuu,
usiwe kinya, usinyamazeeee.....
chorus: niko hapa mwana wa daudi,
niko hapa yesu,
niko hapa elroi baba anionanaeeee
niko hapa sinyamaziiiuuuuu
verse2
Ukiguza,niguzeeeeeee, ukiponya niponyeeeeeeee,
Na fungua kinywa changu, nafungua moyo wangu eeee yesu usinipite,
nimekuja nikutane na we-eee-weeeeeeeeeeeeee
usinipite niguze,haja yangu ni we-e weeeee
chorus: niko hapa mwana wa daudi,
niko hapa yesu,
niko hapa elroi baba anionanaeeee
niko hapa sinyamaziiiuuuuu
kwasababu sasa umeniona, moyo wangu uwaziiii,
kinywa changu chakushukuru eeh baaa-baaaaa
siwezi rudi kama nilivyo kuja hapa,maana nimekutana na ww,
fanya utakalo, rehema,neema zishuke, nimekutanana naweeee
chorus
brigde: mmmmmmmmmh, tararararararara,yeaaaaaaaaaaah.