Machozi yananitoka ninaposikia kuagana naumuia
Kwa maana hatutaonana tena Bwana nipe moyo wa shujaa nikubali japo ni machungu
Chorous
Tutaona bwana akipenda tena hata kama ni ngumu kuagana tutaona tena kama bwana alivyo tukutanisha
[Male Vocal]
[Male Vocal]