Mi mwenzenu nimeshindwa kutunza siri Nikiwa single Siwezi lala usiku ukiniacha natumia dakika mbili kurudi tena kwenye maumivu nahisi nimerogwa siyo mzima nikipenda napenda na nizama maziima nahisi nimerogwa mimi nanizama aaaaaoooooo Siwezi kuwa single ninakasoro gani Mi mpaka niwe single staki kuwa single ninakasoro gani Mi mpaka niwe single