ninako enda sijali ,maana me ninajua uko NAMI
ninakotoka ndo mbali ila nashukuru
umekua Namii, Kwa neema yako ukamtuma yesu
akanifilia iwe niwe huru, umenifanya niwe nuru WA mchana
hata usiku
na sitachoka kukusifu eh mungu wangu
*chorus*
nataka
aah agape love
agpee eh agape love
Mimi nataka
agapee agape love
mimi natafuta agpee
agape love
mimi nasaka agape love X2
*verse 2*
mmmmh wamenisema mengii
yameniumiza,
lakini mola nimekuja kwako
ooh ninajua hauto niacha
umenificha kwenye mbawa zako hata shetani hawezi nione
umenipa true love
ya dunia siyataki
wanadamu siwataki
*chorus*
nataka
aah agape love
agpee eh agape love
Mimi nataka
agapee agape love
mimi natafuta agpee
agape love
mimi nasaka agape love X2
Eti nafanya mziki kutafuta Kiki
wananinyima Imani wao marafiki
lakini mola kwangu we ndio rafiki
Verse 3
nimepita kwenye moto
lakini sijaungua
maneno yao yalinichoma
lakini roho wako akanituliza
nikilia, wewe wanyamaza
nikianguka, unanibeba
wewe ni mwamba wa wokovu
nimeamua, siwezi rudi nyuma
Pre-Chorus
na moyo wangu nauweka mbele zako
niongoze njia yako niende nayo
Chorus
nataka
aah agape love
agpee eh agape love
Mimi nataka
agapee agape love
mimi natafuta agpee
agape love
mimi nasaka agape love X2
Outro
agape love ndiyo uponyaji
agape love ndiyo wokovu
nitatangaza jina lako
milele nitakuimbia
agape love...