We ni furaha yangu, nikiwa nawe natosheka tu
Mungu kanibariki na wewe, na sasa najihisi mkamilifu
Nitakupenda, nikulinde na nikuhifadhi
Kwa kuwa wewe ni zawadi ya dhamani
Chorus
Furaha yangu ni wewe, am proud to be your man
Nitakulinda kwa vyovyote vile, it's me and you till the end×2
Verse 2
Nina furaha sana, najihisi shujaa kuwa nawe
Kweli Mungu kanikumbuka, na kunibariki na wewe
Wewe ni zawadi ya maana, milele nitakuenzi
I love you , I will always do, it's an assurance baby
Chorus
Outro
Furaha, furaha, furaha yangu
Forever me and you my happiness