Kutana na JamesRutta Mwenyeji wako ndani ya PodcastYako/
JamesRutta Holistic Wellbeing Promoter Ooh JamesRutta Community Health Promoter Ndani Ya PodcastYako, Utapata Mawazo yenye maana ya hamasa na kukuandaa kuishi maisha yaliyosimama imara katika upendo wa MUNGU, Upendo wa Mungu unaobadili maisha, Zinashirikishwa sauti zenye ushawishi mkubwa kijamii/ Fuatilia comment like and share,Instagram, Tiktok, YouTube, Facebook, Thread na WhatsApp pia,kote huko andika PodcastYako/