Kipato changu kidogo Cha kuunga unga labda nikwanbie asubuhi chai na mihogo je, utaweza mwenzangu? niambie nisije kukuvisha Pete chanda chema mwisho unikimbie daima nataka mke mwema mile na mie
Manyaku nyaku (nyakua) wale wa pika pakua wakija kukuchukua utaniumbua, wadoko doko (dokoa) wale wa macho kodoa wakija kukunyanyua haaaa haya we.
Kibendera pepea usije nitenda haaaa aaa malupelupe Lupe ukapepeluka haaaa aaa usije unitende mbali ukaenda haaaa aaa utaleta msiba!!!.
Isije ile kesho ile kesho ukapepeluka Kama bendela Kwa upepo Kwa upepo ukapepeluka yaani we wewe ukapepea ukapepeluka ndege muoga ukunje mbawa usepe pepeluka Yaani ukapepea.
Kipenzi nisitiri mapenzi ni Siri tena ya wawili shida tuzikabiri mi na we razizi usiwe kama Kobe kwenye amani anatembeaaa shida kidogo mbio jumbani Keshajifungia OOO mtume roho yangu itaja iteteme Tete OOO tete mi nitabaki hoi mtepe mtepe tamu ya roho yangu tuliza mapepe pepe OOO pepe mi kwako sipindui legelege.
Kibendera pepea usije nitenda haaaa aaa malupelupe Lupe ukapepeluka haaaa aaa usije unitende mbali ukaenda haaaa aaa utaleta msiba!!!
Isije ile kesho ile kesho ukapepeluka Kama bendela Kwa upepo Kwa upepo ukapepeluka yaani we wewe ukapepea ukapepeluka ndege muoga ukunje mbawa usepe pepeluka Yaani ukapepea. Haaaaaaa haaayaaa haaaa Yaani ukapepea
[Male Vocal]