D-divvy boy
Mumboga family,ooooh mumboga family
Familia yenye ushawishi inadumu
Ina viongozi wa nidhamu navubinadamu
Sio Susan mumboga,biturise waswa,stephene munialo,
Rose khasoa,linet, francis,Kevin Ambani ,khayenzi,James,jeny,Patrick,Diana,rael musilivia,lizey,au charity,wote viongozi wa pawa
Wanachama mahususi mubarikiwa na mola
Kiheshimu chama kidumu hadi kwa vitukuu
D-divvy boy 254
Chama kinadumu milele
Kila mwaka ni furaha kupatana kwa pamoja kilele
Utamu wa familia ni kelele Cha hekima
Tuheshimiane kama ndugu
Siku hazigadi tukumbatie Mila zetu
Lugha yetu idumu kwa vizazi na vizazi
Make sure as a family member of mumboga you live legacy behind
I as Kevin Ambani mine is to be a role model for the next generation
Asanteni wanachama ,mubarikiwa siku zote
Tuombeane tufaulu,sapoti kaka Yako kuinuka
Nawapenda sana wanachama,na chama kidumu milele
Asanteniii asanteniii×4