Say his name loud and clear
Praise his name loud and proud
Jesus is the king of kings Alfa na omega
Ameifungua minyororo sasa ni huru
Sema amen, utukufu wake Mungu
Sema amen, amani moyoni mwangu
Mamlaka zote zamsujudia
Yeye ni mwangaza panapo giza
Huleta Amani kwenye vita
Na shibe panapo njaa
Sema amen, utukufu wake Mungu
Sema amen, amani moyoni mwangu
Jesus nishike mkono nisipotee
Shetani hapendi kuona nalisema jina lako
Nimeshinda majaribu yote sababu uko nami milele
Sema amen, utukufu wake Mungu
Sema amen, amani moyoni mwangu
Ee bwana, unisikie kaa nami usiniache
Nitalitangaza jina lako watu wote wasikie
Hakuna jina lenye nguvu kama lako Bwana
Sema amen, utukufu wake Mungu
Sema amen, amani moyoni mwangu