Verse (1).
Siku ya Kwanza tunaonana,moyo ulishtuka.
Jinsi ulivyoumbika ma,nikatamani kukushika.
Kwa lako tabasam,mwendo wa mashamsham.
Unavyotembea ndiyo kabisa mchizi unanimaliza oh.
Seema unataka nini,chochote utapata.
Nyumba au gari,tukaishi tabata.
Nikubarie ma,hapa amani utapata.....