Ni mo final tenaaaaa haaa
ivi kweli unanipenda hutonacha honey
utazidi kunipenda hutonacha honey ×2
halii imebadilika kitaani kote wanajuaaa
nani utakua nae mwisho wa siku asije kukuzinguaaa
walisema mambo mengi mwisho wa siku wakatuzinguaga tukajuta juta sana matokeo tukayapokeaaa hata yule ngongoti alosema katuu haanguki hakupiga magoti chini akawa utazani kuuti
Daima uniite mume si unanielewaaa
lala lala lala lala laaaaala
unipatie jibu sasa si unanielewaaaa
lala lala lala lala lalaaaala
nitunzeeee baby mi niwako mpenzi
nitunzeeee baby usije enda mbaliii nitunzeeeeee baby nakupendaaa darling
Nifanye asikari nikuokoe kwenye nyingi hatariiiii
Au dakitari niwe tabibu nikutibie mwiliiii
Na nitakua adui maweee
Nigeuke chuiii maweee
Nitunzeeeee baby mi ni wako mpenzi
Nitunzeee baby usije enda mbalii
Nitunzeee baby mi niwako mpenzi
Nitunzeee baby nakupenda darling
its me mo final