Twajua hatukustahili kusimama leo hii una makusudi na sisi Nena nasi
Chorus,si kwa uweza Wala kwa nguvu zetu ni kwa
uwezo wake
Wapo waliotenda mema hivi Leo wamelala una makusudi na sisi Nena nasi
Twajua ni mapenzi yake hivi Mana leo hii tupo ndio Mana ,ndio Mana tupo hapa