Nimeibuka namba moja,nakutawala akili
We ndo wangu mara mojaa,unanitulizanga mwili
Wengi wasema ushankoroga ,umenizamisha bahari
La mapenzi bananaa,na utamu umezidi
Nimependa ,nakutaka,sio eti nakutania
Hii alama,nabandika,iwe ishara kwako dear
Si unajua ,nisipokuona,ndo mwenzako nazidiwaa
Hata mama,si amesema,mwili wote unapendeza ,aaah
Nakupa nafasi we ndo namaba mojaa ,aah
Nakupa nafasi tuishi pamojaa,aah
(Chorus)
Nakupa nafasi we ndo namba moja,aah
Nakupa nafasi tuishi pamoja,aah
Aaah meejay tenaaa,naimba mapenzi
(Verse 2)
Mapenzix2 yanafanya siwezi tulia
Huo uhodari wa mapenzi,mpaka naendeshwa kwenye giza
Sikuli silali,mpaka aje yeye kunituliza
Huo uhodari wa mapenzi ,ndo yanafanya nanenepa
Aah babee
Nimependa ,nakutaka,sio eti nakutania
Hii alama ,na bandika ,iwe ishara kwako dear
(Chorus)si unajua ,nsipokuona,ndo mwenzako nazidiwa
(No chorus)hata mama ,si amesema,mwili wote unapendaza,aah
(Chorus)
[Nakupa nafasi we ndo namba mojaa,aah
Nakupa nafasi tuishi pamoja,aah]
Aaah ,,aaaah ,juivahn anaimba mapenzi
Fame boy anaimba mapenzi
Noes kiongozi ,anaimba mapenzi
Hasaa mimi ni nani nisieleza hisia zangu ,katika mapenzi
Aaah ,nampa nafasiiiiii
[Male Vocal]