Tuishi maisha ya kweli tusifeli wahuni tumechoka kejeli muhuni sio kukaba muhuni sio kuiba uhuni wala sio robbery nawapa ujumbe uwafikie mistari mikali kutoka kwangu mie wanangu kibao wananiamini nawapa kitu roho inapenda najiamini watoto washamba washamba wote bikini wakitaka nyepesi waangalie chini sitaki lawama nikitumia pesa zangu kanipa maulana mwenyezi mungu watoto cha kufanya hawana kazi majungu eeeh eeeh