unaleta nini kwa table mi naleta unchez,
kama unadai evidence enda Pinterest,
venye umebeba mi nishagain intrest,
atii, sitaki kelelee,,,mood ni ya sherehee,
ambia ex apotelee ,story zake uchoree,
mi nitakupiga kimunju hadi ujikojolee,
I'm a hander naweza kushika but mi si polisi,,,,
Cuddler not a fumber kwanza nikiwa na tumber,,can I call bubbler juu napenda venye unawind your dendaa.
chorus:nikikupata nitakugonga kiwantam,kwanza venye napenda nyama kwa nyama juu ni tamtam.