[Verse 1]
Nilipofika mwisho wa maneno
Machozi yakanijibu kwa sauti
Nilipotaka kugeuka nyuma
Ukanishika mkono
UkaNinyanyua
[Chorus]
Nitaendelea kuamini
Hata macho hayaoni njia
Nitaendelea kusubiri
Hata moyo umeshachoka
Kwa sababu Wewe
Wewe ulisema
Sitaachwa
Sitasahaulika
Nitaendelea kuamini
Mpaka nishike niliyoahidiwa
[Verse 2]
Siku zimekuwa kama miaka
Nikiandika ndoto pembeni ya kitanda
Lakini kila asubuhi nikiamka
Naskia sauti Yako ndani ikisema
"bado"
[Chorus]
Nitaendelea kuamini
Hata macho hayaoni njia
Nitaendelea kusubiri
Hata moyo umeshachoka
Kwa sababu Wewe
Wewe ulisema
Sitaachwa
Sitasahaulika
Nitaendelea kuamini
Mpaka nishike niliyoahidiwa
[Bridge]
Nikidondoka
Wewe wanijua
Nikilia
Wewe wasikia
Hata nikibaki mwenyewe
Siipo peke yangu (ooh yeah)
[Chorus]
Nitaendelea kuamini
Hata macho hayaoni njia
Nitaendelea kusubiri
Hata moyo umeshachoka
Kwa sababu Wewe
Wewe ulisema
Sitaachwa
Sitasahaulika
Nitaendelea kuamini
Mpaka nishike niliyoahidiwa