BANGO SONG
TRACK - SAMIRRAH
VERSE 1
Kakaa naomba nikwambie kitu,
Kitu kizuri nahisi utaridhia,
Haya kaka nambie nikitu hicho,
Nambie nambie kaka nikijuwe,
Unamjuwa samirah,
Ama unamsikia,
Ndio ninamjuwa basi
Nambie ana nini?
Kaka yule nimzuri sana,
Nimetokea kumpenda
Kakaa kaka yangu kwake
Nimezama mapenzini,
Juwa yule toto la bosi,
Tena kwao mbwa kali,
Usije iiileta kesi,
Naomba kaa naye mbali,
Chorus
Samira wewe samirah
Samirah nakupenda sana,
Samirah wewe Samirah hamwenga
huvine wira,
Samiraaaah samiraaah, nakupenda samirah samirah wewe samirah samirah nakupenda sanaaaaaaaah,
[Male Vocal]