Tangu mdogo mbaka nimekuwa,
Kuna sili we usie ijua,
Lakini leo hakika utaijua,
Mana nimedhamilia mie kukwambia,
Yupo mmoja mwamba wa dunia,
Maisha yetu anayasimamia,
Kila kitu hadi kulinda,
Yupo mungu ndoanasimamia,
Yupo muunguu, yupo baaaba
Yupo munguu, yupo baaaba
Yupo muunguu, yupo baaba
Yupo muunguu, yupo baaba
Hatoki kigamboni hatoki kinondoni,
Hatoki morogoro wala hatoki pwani,
Naimani unaelewa alivyo tukomboa,
Naimani unaelewa alivyo tukimboa
Vikwazo vingi nyuma tumepita,
Kama miujiza alipitisha,
Mbaka leo tunamuaminia,
Nabado anazidi kutupambania,
Asante baba ulie juu,
Siku zote nitakushukuru,
Bila wewe mimi sina nuru
Nishike mkono ili niipate nuru,
Wapo wengi wanao nichukia ,
mawazo yao fikra zimefungwa,
hawajui wao wanayo yatenda,
Lakini finally wataelewa
Kwamba mungu unawapenda.
Yupo munguu, yupo baaba
Yupo muunguu, yupo baaba
Yupo muunguu, yupo baaba
Yupo muunguu, yupo baaba
Nataja sifa za member,
Wakwenye group la mwega,
Taia hadi zao sifa,
Kaa tayari kusikiliza.
Nikianza na eliakim kama admin
Yeye anajiita meneja wa msanii ester
Kaa chini nikwambie sifa zake zipo hivi
Kwanza yeye ni mchoyo,
Hakumpa nasra elf tano,
Amesema atakuwa maandamano,
Nahisi amekula chumvi nyingi mno,
Member wengine nitamalizia kesho muwe na subila
Mimi ni youngndimo
Msanii pia producer,
Naimba rap, pia afro,
Majina halisi faustini
Enjoy mziki mzuri kutoka kwangu enjoy
Hello IFM, CBE, UDSM,KIGAMBONI,UBUNGO, KIMARA, MBEZI, KIBAMBA, MALOLO, MWEGA.