Hallelujah ameni wewe ni mungu
Jina kuu la uweza umetukukuka
Kaskazina,kusini kote umetambulika
Wafalme wa mataifa yote ya ulimwengu wanakujua
Chorus
Umejulikana,wewe mungu,
Ukuu wako wa ajabu dunia yote
Malaika na wanadamu, wanaheshimu jina lako wewe ni mwaminifu
Verse 2
Niseme nini eeh mungu wa miujiza,
Jina lako na neno lako nivya milele
Sina chakusema, wala sina chakujivunia ila matendo yako
Na ila ukuu wako....