Yesu wanguuu nakupenda Kwa kuwa ulinipenda kwanza nakupenda
Ulishuka kutoka mbinguni Kwa ajili yangu nakupenda
Ukazaliwa kama mwanadamu wee na kupenda
Ukalazwa horini mwa ng'ombe ili uniokoe nakupendaaaa
Chorus
Yesu wangu na kupenda, Yesu nakupenda
Yeeeeeeeeesu Usifiwe milele Alleluya Aaamen
Yesu wangu na kupenda, Yesu nakupenda
Yeeeeeeeeesu Usifiwe milele Alleluya Aaamen
Yesu wangu Alleluuuuuuuuya Aaaaaaamen
Ulidharauliwa na wanazareth, wakasema wewe ni mwanaseremala
Wayahudi walikudhalilisha wewe mwana Galilee
Wafarisayo walusaka Wewe haufuatia Sheria za Musa
haya yote ni Kwa ajili yangu nakupenda
Chorus
Yesu wangu na kupenda, Yesu nakupenda
Yeeeeeeeeesu Usifiwe milele Alleluya Aaamen
Yesu wangu na kupenda, Yesu nakupenda
Yeeeeeeeeesu Usifiwe milele Alleluya Aaamen
Yesu wangu Alleluuuuuuuuya Aaaaaaamen
Judas akatumika kukusariti na Kwa busu akakuuza
Petero rafiki wa dhati akakukana ingawa alikiri atakufa Kwa ajili yako
Askari wakakukejeli ujiokoe pale msalabani
Msalabani wakakusulubisha uniokoe nakupendaaaa
Chorus
Yesu wangu wewe na kupenda, Yesu nakupenda
Yeeeeeeeeesu Usifiwe milelfe Alleluya Aaamen
Yesu wangu na kupenda, Yesu nakupenda
Yeeeeeeeeesu Usifiwe milele Alleluya Aaamen
Yesu wangu weee Alleluuuuuuuuya Aaaaaaamen
Walikuua niweze kuishi, Nikodemus akakuzika
Jiwe kubwa likafunga kaburi usitoke
Askari wakalinda kaburi usiibiwe
Lakini ulishinda kifo na mauti ukafufuka
Alleluya, Alleluyal yu hai Alleluya, Alleluya
Chorus
Yesu wangu na kupenda, Yesu nakupenda
Yeeeeeeeeesu Usifiwe milele Alleluya Aaamen
Yesu wangu na kupenda, Yesu nakupenda
Yeeeeeeeeesu Usifiwe milele Alleluya Aaamen
Yesu wangu Alleluuuuuuuuya Aaaaaaamen
Maisha yako inafifia - mpatie Yesu afufue
Afya yako inadhoofika-Aamini anaweza
Familia inaporomoka-Patia Yesu aitengeneze
Kazi yako inakuudhi -Omba Yesu aifufue
Uchumi wa Kenya waporomoka- Ikabidhi Yesu ataifufua