(Chorus)
Shetaaani analeta balaa. Balaaa
Hadi life ya wengi yapoteea AA!×3
(Verse1)
Bas kaniita ng'ooo .Bas kasema et mi siwezi God.Aaw!
Wacha nijipe nafasi,so,nawrite TU hii masongs, nawrite TU mi na notes.
Kwa church naishi,kukesha silali woooi.Mashariki kaskazini naserve TU God!
Wacha akutel something utahepa.
Kazi ya kupreach no ye husema.
Bad ni ye ohh.Bad sitaki God.That is why najaribu niwe wako TU God!
Nisipoamka nitadoro,watu walishabaki injili kueneza.
Niko wasiwasi sijaleta washirika.
Natafuta yule nitaweza kumuleta.
Time ishaenda,watu warudisha macho nyuma.
Kwake Yesu nasimama wima ka post ya stima.
Isipomek kesho still itamek,Bora injili ya God mi na ipreach.Ah! Ahaaa.
(Chorus)
Shetaaani analeta balaa. Balaaa
Hadi life ya wengi yapoteea AA!×3
(Verse3)
Mungu wangu we ni mmoja kati ya watu.
Asante kwa kunipa mashabiki ka.a.a watatu.
Mimi ni mwana sina shughli na ya world Uuu.
Karibu kwangu,nilishe unipe zile Ungu.
Natembea nikisaka vile Kutaenda.
Basi natazama,kule sijawezafika.
Naomba God iwe nyingi,SiFA tena tena.
Kwake Shenani hawez kunipata tena
Shalom,hosanna,mbinguni nitaenda.
Re bwana Yesu,nitie nguvu
Watenda ma ovu siwezi taka wasifike kwa ukuu.
Bingu na dunia zina sifa zako juu.
Yaliyonilemea naomba u nipe nyingi nguvu.
Acha TU nicome,kwa heaven Ili nisijam.
Malisho yako ni tam.Tam kama asali Nana's.
Isije iwe,yangu mimi,bali ije iwe,yako kwangu Mimi.
Niwe na amani,furaha na ulinzi.
(Chorus)
Shetaaani analeta balaa. Balaaa
Hadi life ya wengi yapoteea AA!×3