Oohhh,, oohh hasira za nini mmmhhh ndugu yangu,, unaamka asubuhi una pata mukuru amenuna kumbe amenyoa mavuzi oohh mavuziii unafika kazini una pata boss ame vimba na hakuna makosa kumbe amenyoa mavuzi oohh mavuziii na ndio una fika tu shule una pata teacher amerauka Ako kwa gete na ame fura kama kitumbuwa tatizo ame nyoa mavuzi no no no no nooo mavuziii Tena chaku shangaza zaidi Wana nyoa mavuzi kipara wakiwa bungeni Wana shina kulala oooohh lala lalaaa police na Wana penda chai Kila mara juu ya stress ya kunyoa mavuzi.....